
Umenitoa Mbali
Umenitoa Mbali is an AI-generated pop song from Song Flow, built around yego rumot ehh… mungu wangu nimekuja mbele zako leo kwa moyo wa shukrani… mahali uliponitoa… ni mbali sanaa…...
Listen to the first 30 seconds, then open Song Flow for the full creation flow.
Download Song Flow to create songs like this
Song Flow helps you turn ideas, lyrics, styles, and moods into original AI songs in the app.
Song Details
This track leans into Pop, Electronic, Dance, Indie, Emotional textures, giving listeners a clear example of the styles Song Flow can help create.
Full Lyrics
52 linesYEGO RUMOT ehh…
Mungu wangu nimekuja mbele zako leo
Kwa moyo wa shukrani…
Mahali uliponitoa… ni mbali sanaa… ehh
Nilitembea gizani nikikosa njia
Machozi usiku, nikilia kimya
Wengi waliniacha nikabaki peke yangu
Lakini wewe Yesu ukanishika mkono wangu
Nilidharauliwa nikaitwa siwezi
Maisha yakawa mzigo nisioubeba kweli
Lakini neema yako ikaninyanyua juu
Leo nasimama kwa uwezo wako tu
Mahali amenitoa ni mbali sana
Nilikuwa chini sasa niko naye baba
Hakuna wa kufanana nawe ×2
Wewe unaweza ×3
Hakufanana na wewe
Wewe unaweza ×3
Hakufanana na wewe
Ninakusifu Mungu wangu
Kwa yote uliyonitendea
Ulitoa moyo wangu kwenye maumivu
Ukanipa amani na furaha
Mahali amenitoa ni mbali sanaa
Nisingefika bila wewe Yahweh
Nitaimba jina lako milele
Kwa sababu wewe ni mwema
Wakati dunia ilinigeuka
Wewe hukuwahi kuniacha
Umenitoa mbali na huzuni
Sasa moyo wangu umejaa ushindi
Umefuta machozi usoni mwangu
Ukageuza majaribu kuwa ushuhuda wangu
Leo nikisimama mbele za watu
Ni ushindi wako unaonekana kwangu
Nilianguka ukaniinua
Nilipotea ukaniokoa
Mungu wa rehema na upendo
Nitakuabudu milele yote
Hakuna wa kufanana nawe ×2
Wewe unaweza ×3
Hakuna wa kufanana nawe ×2
Wewe unaweza ×3
Hakufanana na wewe
Ninakusifu Mungu wangu
By YEGO RUMOT
Ninakusifu Mungu wangu
Hakufanana na wewe
YEGO RUMOT anasema…
Mahali Mungu amenitoa… ni mbali sanaa
Ni neema tu imenifikisha hapa
Asante Yesu… 🙏🎶
Make your own AI song in Song Flow
Use the app to create original songs, remix ideas, generate lyrics, and publish playlists.


